| Mkurugenzi wa ufundi wa Wagosi wa Kaya Nassor Ahmed 'Binslum' mwenye
kofia akiwa na kiungo mshambuliaji kutoka Bandari ya Mombasa aliyesaini
kuungana na kikosi cha Coastal Union CRISTIN ODULA (katikati), kulia ni
mwakilishi wa Coastal Union jijini Mombasa Kenya ndugu Hussein Tawakkal. |
No comments:
Post a Comment