Baada
ya TFF kutangaza kuwa Yondan ni wa Yanga 100%, Jeba naye karejea
Chamazi na kuomba msamaha na kusamehewa na sasa anapiga Jaramba na chama
lake la Azam FC... Poleni wazee wa Magazeti na Redio... Nilisema kuwa
Jeba atacheza Azam FC na yametimia
· · · 3 hours ago
Kwa mujibu wa manager wa timu ya Azam Patrick Kahemele ni kwamba kinda la klabu hiyo lilisajiliwa na Simba mwanzoni mwa mwezi uliopita kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu, amerudi tena Azam baada ya taratibu za kumsajili kutofuatwa na Simba.
No comments:
Post a Comment