Utafiti huo umetanabaisha kwamba Man Utd ina jumla ya mashabiki milioni 659 duniani kote.
Kampuni ya Kantar amabayo inaongoza kwa kazi za tafiti mbali mbali za masoko duniani pia imesema mchezo wa soka ndio unaongoza kwa umaarufu duniani
Manchester United ina jumla ya mashabiki milioni 659 duniani kote:
- 71 million in Americas
- 90 million in Europe
- 173 million in Africa and the Middle East
- 325 million in Asia
Source: Kantar, May 2012
No comments:
Post a Comment