Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea hii leo kwenye viwanja viwiwli, jijini Dar es Salaam mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga imeifunga African Lyon bao 1:0 kwa bao la Kigi Makassy. huko mkoani Dodoma Simba imefanikiwa kuifunga Polisi ya mjini humo bao 1:0 bao la ushindi la Simba limefungwa na kiungo Patrick Mutesa Mafisango.
No comments:
Post a Comment