COUNTDOWN DIRISHA DOGO LA USAJILI BONGO: AFRICAN LYON
Wakati dirisha dogo la usajili wa Bongo likielekea kufungwa hivi punde klabu ya African Lyon imefanikiwa kumsajili kiungo Justus Anene kutoka klabu ya URA ya nchini Uganda,pia timu hiyo imefanikiwa kumnasa beki Obinna Mustafa raia wa Nigeria toka klabu ya Zanzibar Ocean View. WALIONGIA:
SAMUEL NGASA-HURU JUSTUS ANENE-kutoka URA ya Uganda Mbera Mike- Lugazi Utd ya Uganda Erick Majaliwa- kutoka JKT RUVU Mohamed Hamad-kutoka Mwanza Utd Obinna Mustafa- Kutoka Ocean View ya Zanzibar.
WALIOTOKA Shabani Aboma-ameachwa John Njama -amekwenda Police Central ya Dar Es Salaam Bakari Nzige- Polisi Dodoma
No comments:
Post a Comment