Taarifa nilizozipata hivi punde,mwenyekiti wa klabu ya Simba Mh Aden Rage hivi sasa yupo njiani kuelekea nchini Afrika ya Kati kwa ajili ya kuhakikisha Mshambuliaji Gervais Kago anacheza ligi kuu ya Vodacom inayotaraji kuanza mwishoni mwa juma hili.
'' ni kweli mwenyekiti ameenda nchini Afrika ya Kati asubuhi ya leo baada ya kuzungumza na maofisa wa FIFA na kumshauri afanye hivyo''-IBRAHIM MASOUD-Mjumbe kamati ya utendaji ya Simba.

wana2aibisha viongoz we2 wa SIMBA NA YANGA wachezaji mpaka wakawafate waliaza YANGA sasa nao SIMBA wanafuata hawaoni kua wanajenga utabaka katika timu? afadhali ya simba wenzao Yanga ndo wamezid coz mchaezaji walie mfata kaonyesha utovu wanidham kutoroka kambi kwenda kwao bila taarifa zamcngi lait km engefanya mtanzania engechukuliwa ha2a za jinidham!
ReplyDelete