Pages
(Move to ...)
Home
Clouds FM LIVE
▼
Wednesday, June 22, 2011
KALI YA LEO!!
Kuna mwamuzi mmoja huko Uingereza katika mji mdogo wa Andover alijipa mwenyewe kadi nyekundu baada ya kumchapa makonde mchezaji katikati ya mchezo wa kirafiki. hii ilitokea mwaka 1998.
Hii sasa ndio fair play!
hii nayo kiboko!!!
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment