tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post8048794679643727514..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: SIMBA NA YANGA WAPIGWA FAINI YA MILLIONI 25 KWA VURUGU KWENYE YA AL AHLYUnknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-79602033069789959602014-03-21T11:05:03.032+03:002014-03-21T11:05:03.032+03:00.Kiuhalisia ni kweli kwamba vurugu zile zilianzish....Kiuhalisia ni kweli kwamba vurugu zile zilianzishwa na washabiki wa simba waliokasirika kitendo cha washabiki wa yanga kwenda kukaa eneo lile,ingawaje kisheria ni vigumu kuthibitisha kama walikuwa washabiki wa simba kwa kuwa simba haikuhusika na mechi ile. simba kama klabu haikuwa inahusika na mechi ile hivyo ingekuwa vigumu kwao kuwajibika na udhibiti wa washabiki wake katika mechi isiyowahusu.Hata hivyo ukweli unabaki kwenye udhaifu wa vyombo vya usalama kuwadhibiti wahalifu hawa kwani watu wenye tabia ya kung'oa viti hawazidi 10 ni rahisi kuwadhibiti iwapo tutaacha ushabiki wakijinga na polisi nao kufanya kazi iliyowapeleka uwanjani.Wakati wa vurugu zile hakuna kiongozi yoyote wa juu wa TFF aliyeonekana kujali na askari badala ya kwenda kukamata wafanya fujo wakawa bize kuwafukuza washabiki wa Yanga waliokwenda kushangilia timu yao badala ya kuwadhiti wang'oa viti ambao timu yao ilikuwa haichezi lakini walikwenda kuishangilia timu ya MisriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-32339000126839916732014-03-20T17:43:16.423+03:002014-03-20T17:43:16.423+03:00Nyie TFF mburula kweli, sasa simba hapo anaingiaje...Nyie TFF mburula kweli, sasa simba hapo anaingiaje hadi muwapige faini? Mechi ile simba alikuwa na interest gani hadi muwahusishe na vurugu? Au kwa vile viti vimevunjwa upande unaosemekana wanakaa wana simba, kama sababu ni hiyo, mnaweza thibitishia umma wa watanzania kuwa kuna ushahidi wowote unao onyesha kuwa uwanja wa Taifa umegaiwa pande mbili, kuna upande wa Yanga na Simba! Udhaifu wenu na vyombo vya usalama kushindwa kuwakamata wahalifu wanaovunja viti, mnawapa mzigo hata wasiohusika. Wale Polisi mnaowapeleka uwanjani wanakwenda kuangalia mpira au kusimamia usalama? Wao ndio waliotakiwa kuhakikisha wahalifu hao wanakamatwa, na hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi yao, hapo kusingekuwa na kuihusisha Yanga wala Simba, mnge dili tu na hao wahalifu.Anonymousnoreply@blogger.com