tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post7628844057229260562..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: PAMBANO LA SIMBA NA YANGA LAINGIZA MILLIONI 500 - WASHABIKI 57,422 WALIKATA TIKETIUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-35468740812634655182013-10-22T11:53:08.753+03:002013-10-22T11:53:08.753+03:00Huo mgawanyo wa hela ni wa kijinga sana.
watu weng...Huo mgawanyo wa hela ni wa kijinga sana.
watu wengine zinawakuta ofisi hizo pesa bila jasho lolote na timu zetu zitaendelea kuwa masikini.
kwangu mgao huo uangaliwe upya.

kwa maoni yangu ni sawa..
1. Ya uwanja ni sawa kabisa ili tuweze kumantain uwanja wetu.
2.Kodi ni sawa ila serikali nayo ingepunguza kidogo 12%VAT.
ambayo siyakubali migao ya kamati ya ligi,gharama ya mechi...siwaelewi ni wizi mtupu.
Chondechonde naomba wakae wajadili na wadau jinsi ya mgawanyo unaofaa
Anonymousnoreply@blogger.com