tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post742216379488790205..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: YANGA IMEKAMILISHA ZIARA YA UTURUKI KWA KUFUNGANA MABAO 2 - 2 NA SIMURQ PIKUnknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-12919356926125219902014-01-22T09:34:29.056+03:002014-01-22T09:34:29.056+03:00Usitake kutudadanganya mtoa comment wa kwanza. Mwa...Usitake kutudadanganya mtoa comment wa kwanza. Mwaka jana kila mtu aliona mafanikio ya safari ya uturuk. Yanga walibadilika sana mpaka wakawa mabingwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-35088664035556819482014-01-22T09:32:05.581+03:002014-01-22T09:32:05.581+03:00Labda hujui taratibu za ulaya kaka. Ww unafikiri k...Labda hujui taratibu za ulaya kaka. Ww unafikiri kines hiyo. Vitu vingine muwe mnauliza kabla hamjacomment utumbo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-31981735539839770572014-01-21T20:21:15.946+03:002014-01-21T20:21:15.946+03:00Yanga inafaa iwekwe kwenye kitabu cha Guinness Boo...Yanga inafaa iwekwe kwenye kitabu cha Guinness Book, Imepoteza muda na pesa kwenda ulaya ya mashariki Uturuki wamefanya kila kitu hapo hapo hotelini mazoezi,mechi etc. Badala ya kuonyesha kuwa wageni wa chama cha soka cha uturuki kama taratibu zinavyotaka kazi yao ikawa kupiga picha na wageni wenzao hotelin kama Robert Carlos.<br />Mfano picha hizi hapa juu zinaonyesha kabisa kuwa timu ni ya wazee tena wameokotana na ni mechi hewa haina hadhi ya hata ya ndondo kwani ndondo uwa na ushindani sana na mashabiki wengi.Picha hizi zinaonyesha kuwa Yanga uturuki walikuwa watalii na deal zao tu sio mpira serious kama wanavyotudanganyaAnonymousnoreply@blogger.com