tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post7118122333459580374..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: YANGA YAENDELEA KUIANDALIA MAUAJI AZAM FC HUKO MBEGANI BAGAMOYOUnknownnoreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-77701207578825047682013-02-21T13:29:30.758+03:002013-02-21T13:29:30.758+03:00ONE LOVE jangwaniONE LOVE jangwaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-3870056094288642012013-02-21T10:57:43.785+03:002013-02-21T10:57:43.785+03:00Tatizo vyombo vya habari vimenunuluwa hasa habari ...Tatizo vyombo vya habari vimenunuluwa hasa habari za michezo, wekw pichw za bagamoyo, kwa nini uweke za maktaba wakati timu ilipokuwa uturuki picha zake mlikuwa mnaziweka kila siku? au bayamoyo mbali kuliko uturuki. Ushahidi tosha vyombo vya habari kununuliwa ni huu, yanga inadaiwa na sendeu na mwenzake 170 Milioni mpaka wakaenda mahakamani lakini haikuwa habari na bado sio habari kwabasababu hamjaandika kama wamelipwa au bado na Yanga wamepelekwa hadi fifa kuhusu Njoroge na Papic hamjaandika wamelipwa au bado, ila Milovan kuidai simba ni habari ya kila siku, tunajua mmenunuliwa ili kuivuruga simba ili yule mama aondoke si mnatumia kigezo alichosema simba ikiwa na migogoro ataondoka? acheni hizo fanyeni kazi yenu kihalali acheni ushabiki au rushwa, hasa rushwa mnavuruga vilabu, rushwa sio nzuri katika habari. alberthttps://www.blogger.com/profile/02502966757751978366noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-11279463021254113682013-02-20T17:27:25.354+03:002013-02-20T17:27:25.354+03:00Kila la kheri YangaKila la kheri YangaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-84255689447606359582013-02-20T16:09:10.941+03:002013-02-20T16:09:10.941+03:00amekwambia ni picha ya maktaba lengo ni kujulisha ...amekwambia ni picha ya maktaba lengo ni kujulisha umma kwamba yanga iko bagamoyo na inaendelea na mazoezi hauelewi nn? big up shafii sisi tuliopo kampala tunashukuru sana tunapata taarifa mhm.tunaomba utuwekee ratiba nzima ya ligi kuu mzunguko wa pili.yanga oyeeeeeee! francy-kpla.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-39194318469012473432013-02-20T13:52:33.824+03:002013-02-20T13:52:33.824+03:00habari yako?sasa ndugu yangu habari za bagamoyo na...habari yako?sasa ndugu yangu habari za bagamoyo na picha za uturuki zinahusiana nini?hakuna asiyejua kama yanga ilienda uturuki,tuwekeeni picha za bagamoyo au ndio mkiweka hizo picha mnaenda kuvuta fedha kwa maboss wa yanga??lolAnonymousnoreply@blogger.com