tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post6110668181932056720..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: FRED CHIMELLA AACHWA KATIKA SAFARI YA TAIFA STARS BAADA YA KIPINDI CHA MIAKA 8.....Unknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-24557180341567836582014-03-09T18:55:34.625+03:002014-03-09T18:55:34.625+03:00Kuna ujinga wa kuwakomoa watu wanaodhaniwa kuwa ni...Kuna ujinga wa kuwakomoa watu wanaodhaniwa kuwa ni wa rais Tenga kwenye huu uongozi wa malinzi,ambao mimi binafsi umeshaanza kunitia wasiwasi kama unao uwezo wa kutupeleka mbele kutokana na tantalila kuwa nyingi,ikumbukwe kuwa uongozi wa tenga ulikua na kazi moja kuu,kuijenga tff kuwa Taasisi inayoaminika,Hilo walifanikiwa halina ubishi,ushahidi ni makampuni kujitokeza kuwekeza fedha zao tff kutokana na trust yao kwa tff as a taasisi,kina malinzi walipoungia madarakani kazi yao kuu sasa tulitegemea Iwe ni kuujenga mpira wa uwanjani ili tuanze kupata ushindi,yani ilitakiwa wao kuboresha na kuyashughulikia mambo ya kiufundi sio tena kuanza upya kuunda taasisi mpya ya watu wao wapya,wanakosea na kupoteza muda,semina elekezi kama ile ya singida ilikua ya kazi gani?kila siku now zaidi ya siku 100 madarakani bado wanapanga safu ya uongozi na kuteua wajumbe wa kamati,kuunda kamati n.k.mpira watacheza lini ?malinzi aache uoga,ujinga mwingine ni kwenda kujitambulisha ofisini kwa Yule mbunge wa monduli,for real???rais wa tff unakwenda kujitambulisha kwa mbunge tu wa jimbo fulani badala ya kwa waziri mkuu ama spika!<br />Haji Mnubinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-63637154349537072752014-03-06T07:07:38.575+03:002014-03-06T07:07:38.575+03:00Maximo alikua ni kocha anayejielewa. Nasikitika s...Maximo alikua ni kocha anayejielewa. Nasikitika sana mlipiga majungu had akaondoka...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-52080338972563684882014-03-05T20:07:42.567+03:002014-03-05T20:07:42.567+03:00Bado sana,baada ya kumaliza kuwaondoa "watu w...Bado sana,baada ya kumaliza kuwaondoa "watu wa Tenga" makao makuu ya TFF sasa ni zamu ya walioko kwenye maeneo mengine ya TFF.Hata team manager Leopold Mukebezi Tasso:sijaona jina lake kwenye msafara huo.Kuna mwingine juzi tu ameshtakiwa kwenye kamati ya Maadili kwa kosa ambalo kimsingi anayetakiwa kuwajibishwa ni Katibu Mkuu wa TFF kwa kuwa ndiye katibu wa vikao vya kamati za TFF na ndiye anayeweza kuzidanganya au kuzipotosha kamati hizo.Hawa wanaondolewa ili kupisha nafasi kwa ndugu au marafiki wa baadhi ya viongozi wa juu wa TFF au watu waliosaidia viongozi hao kuingia madarakaniAnonymousnoreply@blogger.com