tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post5415619258904632809..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: SAKATA LA OKWI LAMPELEKA MFANYAKAZI WA TFF KWENYE KAMATI YA MAADILI KWA UDANGANYIFU,Unknownnoreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-65319872364771824112014-02-19T15:11:28.790+03:002014-02-19T15:11:28.790+03:00Yanga hata mkimsajili Okwi zile goli tano hazitaru...Yanga hata mkimsajili Okwi zile goli tano hazitarudi OKWI wa 2012 sio wa 2014 Ameshazeeka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-53759134156980713112014-02-19T14:56:12.346+03:002014-02-19T14:56:12.346+03:00Ongeeni mambo mengine achaneni na hayo ya Okwi , m...Ongeeni mambo mengine achaneni na hayo ya Okwi , mchezaji mwenyewe kwanza <br />umri umeenda,hebu toeni mawazo jinsi ya kujenga timu yetu ya Taifa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-84621968691508248872014-02-19T11:04:57.689+03:002014-02-19T11:04:57.689+03:00Hao walioweka pingamizi mbona hawakuwahi kulalamik...Hao walioweka pingamizi mbona hawakuwahi kulalamika kwamba pingamizi lao halikusikilizwa?Nina wasiwasi huenda pingamizi hilo limepikwa hivi sasa baada ya kuona hata FIFA wamekubali hakuna kipingamizi cha Okwi kucheza Yanga. baadhi ya watu waliongia TFF kwenye uchaguzi wa 2013 kama Kaburu na Kidao pamoja na wale walioteuliwa na Malinzi kwenye kamati ya Sheria kama Hanspope ndio wanaoendekeza ujinga huu kwani bado ni wachanga katika uongozi wa ngazi ya kitaifa kama tffAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-64696539051344923012014-02-19T09:07:23.667+03:002014-02-19T09:07:23.667+03:00Huyo mwajiriwa wa TFF ni mwanafamilia wa soka kwel...Huyo mwajiriwa wa TFF ni mwanafamilia wa soka kweli?kesi yake inastahili kushughulikiwa na mamlaka yake ya ajira/nidhamu ambayo ni Katibu Mkuu wa TFF na siyo kaMATI YA MAADILiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-59394315630599229502014-02-19T00:23:05.783+03:002014-02-19T00:23:05.783+03:00Usimba na Uyanga naona utalifikisha soka letu paba...Usimba na Uyanga naona utalifikisha soka letu pabayakuanzia tff mpaka kwa ninyi waandishi.hivi kama yanga walikamilisha masuala ya tms na itc kutakuwa na kitu cha kumfanya huo mjumbe aonekane kadanganya? mizengwe imeanza baada yausajili wake kuwa published.kwa uwelewa wangu pingamizi linakuja baada ya kinachopingwa kuanza.sasa huyu mjumbe anashtakiwa kwa kipi?hili suala linachujuliwa kishabiki kiasi cha kukera.Kwa okwi ana kitu gani mpaka mizengwe inazushwa kila kukicha juu yake?tuache unazi kwa maendeleo ya soka letu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-76602371950872656942014-02-18T19:44:25.500+03:002014-02-18T19:44:25.500+03:00Hili sakata la Okwi mbona linafanana na lilie la D...Hili sakata la Okwi mbona linafanana na lilie la Drogba aliyeamua kuikacha timu ya Shanghai Shenhua ya China na kwenda zake Galatasaray baada ya timu hiyo ya China kutomlipa mishahara yake.FIFA ilimpa Drogba provisional licence kucheza Galatasaray na hata Schalke 04 ya ujerumani ilipowakatia rufaa Galatasaray kwa kumchezesha Drogba katika mechi baina yao UEFA ilipiga chini rufaa hiyo.Ipo mifano mingi ya kutumia katika kesi hii kama vile Godfrey Walusimbi dhidi ya Don Bosco ya DRC ambye FIFA ilimpa provisional clearance kuchezaURA huku akiwa na mkataba na Don Bosco na sasa ameuzwa Gor Mahia.Mfano mwingine ni wa Olanrewaju Kayode wa Netanya ya Israel ambaye alikuwa na mkataba na Asec hadi juni 2014 lakini akenda Heartlad kwa provisional clearance na sasa amepelekwa kwa mkopo Netanya.Mbona suala hili linakuwa nongwa kwa Okwi?Anonymousnoreply@blogger.com