tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post5161794642843493133..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: MAKALA: HADITHI YA UWANJA SIMBA YAHAMIA YANGAUnknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-84841428314935409132013-10-19T08:47:09.733+03:002013-10-19T08:47:09.733+03:00ndoto za mchanandoto za mchanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-15297347917759092192013-10-18T23:15:53.785+03:002013-10-18T23:15:53.785+03:00halafu hata wewe uliandika kujibu hii post hukuele...halafu hata wewe uliandika kujibu hii post hukuelewa kilichoandikwa umekurupuka na kuandika kwenyewe hujui unaandika kama toto la shule ya msingi tena darasa la kwanza umechapia kila sehemu yani<br /><br />Ngoja mimi niingie kwenye maada hawa viongozi wa simba na yanga siasa nyingi kuliko vitendo ni kweli RAGE alihaidi namshangaa anakuja kuwageuka kama alikuwa hana huwezo kwanini alitangaza akipewa ridhaa ya uongozi atajenga uwanja viongozi kama hawa hawatufai kabisa<br /><br />Tukirudi kwa YANGA inaelekea viongozi walikuwa wanatumika na waliokuwa wanataka madaraka ndio maana uwanja haujengi na hata kurudishia ule ukuta uliobomoka wameshindwa karibia mwaka wa tatu huu hapa ndipo tunapoona watanzania kama vifaranga vya kuku lala usilie utanyonya kesho mpaka anakuwa hajui nyonyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-24192525503242586632013-10-18T18:51:36.002+03:002013-10-18T18:51:36.002+03:00Ni ukweli mtupu kuwa hawa viongozi wetu wa Simba n...Ni ukweli mtupu kuwa hawa viongozi wetu wa Simba na Yanga niwasanii tu, hawajaanza leo kutudanganya kuhusu habari za viwanja. Siku zote huwa hawakosi sababu, sasa wewe unaewatetea nahisi wote ndo nyie tu. Kwani viongozi wa yanga waliahidi kuanza ujenzi wa uwanja mwezi wa 5, na tulijua tu kua ule ulikua ni usanii wa hawa viongozi. Kwani hawana tofauti na wanasiasa, kila wanapotoa ahadi zao huwa hazitekelezeki.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-69016478928897985222013-10-18T12:54:26.919+03:002013-10-18T12:54:26.919+03:00tatizo lenu mnaweka mawazoyenu ya kishabuki na kin...tatizo lenu mnaweka mawazoyenu ya kishabuki na kinafiki. Ukisoma kwa umakini posti hii haina uthibitisho wowote wa kisayansi bali umbea na assumptions nying kutegemea na mawazo yenu yanavyowatuma...hata kufasili kauli za watu mnashindwa!Anonymousnoreply@blogger.com