tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post4905113034960297711..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: RAGE ANA POINTI, SIMBA MAMBUMBUMBU.Unknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-2128441262203530022014-03-19T09:10:21.843+03:002014-03-19T09:10:21.843+03:00Hakuna mtu aliewaweza simba kama Aden,wamelazimika...Hakuna mtu aliewaweza simba kama Aden,wamelazimika kumsubiri mpaka amalize muda wake wa uongozi bila kupenda sio kama loyd nchunga alivyoiachia yanga kinyonge namna ilemzee wa saigon,kkoonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-85687201676053039062014-03-19T07:59:38.807+03:002014-03-19T07:59:38.807+03:00Hivi hilo agizo la TFF kwa klabu zote kurekebisha ...Hivi hilo agizo la TFF kwa klabu zote kurekebisha katiba zao ifikapo tarehe 20/3/2014 linaihusu Simba tu?mbona Yanga na klabu zingine wako kimya hakuna mkutano wala mchakato huo wa Katiba.Rage ni mjanja sana ametumia nafasi hiyo kukwepa mkutano mkuu uliokuwa unatakiwa na wanachama.Rage amecheza mpiraSimba sc na ameongoza Simba sc kwa miaka minne sasa,hivyo anawajua wanachama na washabiki wa simba kiundani,kwa hiyo anaposema ni mbumbumbu yuko sahihi kwani amewadanganya kwa miaka minne na wamemvumilia mpaka anamaliza muda wake.Ukiona hadi Kaburu anayeaminika kwa fitna amemshindwa Rage akamua kuondoka yeye kwa kujiuzulu ujue huyu jamaa ni kiboko.Angalia Malinzi aliingia kwa mbwmbwe nyingi na kumwagiza Rage aitishe mkutano mkuu ndani ya siku 14 lakini hadi leo mkutano huo haujaitishwa badala yake wamefanya mkutano wa kurekebisha katiba tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-23221962519880300612014-03-18T20:08:32.036+03:002014-03-18T20:08:32.036+03:00hoja yako nmeipenda, mbali na ukweli kwamba timu z...hoja yako nmeipenda, mbali na ukweli kwamba timu zetu zinaendeshwa na mifumo isiyofaa ktk maendeleo ya soka lkn inaonekana rage ni mtu asiye na chembe ya ustaarabu, mara nyng mikutano yake anaendesha kibabe na dharau juu labda ni kwsbb wkt anachukuwa madaraka wanachama walikuwa na imani sana naye pengine kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kuiongoza simba, hivi mambo anayofanya rage simba yangekuwa yanafanywa upande wa pili yaani yanga nini kingetokea kwa kiongozi kama huyo? nadhani asingevumiliwa, wanachama wa yanga wanamaamuzi kuliko simba, kauli za rage haoneshi kama mtanzania ni dhahiri anadhihirisha usomali wake kwani ni mnafiki na hafai kuwa kiongozi wa soka la kisasa, simba wache watukanwe na huyo rage wao wameyataka wenyewe, wakati wanamchagua walisema rage anafaa sana eti mzee wa FITINA sasa matusi ndio fadhila zake kwa wanasimba, kweli ni mambumbu hakuna ubishiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-68511812905657979592014-03-18T13:56:35.355+03:002014-03-18T13:56:35.355+03:00Mmh..Mbumbumbu SC.........Mmh..Mbumbumbu SC.........Anonymousnoreply@blogger.com