tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post4664122469102509408..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: NIONAVYO MIMI:SAKATA LA OKWI,MCHEZO UMEKWISHAUnknownnoreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-10551868662816457812014-02-17T14:13:38.816+03:002014-02-17T14:13:38.816+03:00Simba wafuatilie malipo yao ya mauzo ya Okwi tunis...Simba wafuatilie malipo yao ya mauzo ya Okwi tunisia,waache kujihusisha na uhamisho wa Okwi kwenda Yanga kwa kuwa huyu hakuwa mchezaji wao tena.Kumbuka kwamba Okwi alinzia kucheza Villa ya Uganda na baadae ndio akaenda Simba sc kabla ya kuzwa Etoile na baade kurudi Villa kabla ya kuuzwa Yanga.Hivyo kama ni suala la baba kumuoza binti yake,kati ya Villa na Simba sc nani anyehusika na Okwi zaidi?Na kumbuka kwamba Simba bado wanadaiwa na Villa asilimia 20 ya mauzo ya Okwi kwenda Etoile kwa sababu Villa ndio ilyomlea Okwi akiwa na umri chini ya miaka 18Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-29829735920741331302014-02-17T10:23:33.930+03:002014-02-17T10:23:33.930+03:00Kwa mtazamo wangu suala la okwi limeumiza zana vic...Kwa mtazamo wangu suala la okwi limeumiza zana vichwa vya watz , naoni [1] cmba waendelee kudai pesa yao toka etoile du sahel ya tunisia sababu cmba wamefungua kesi ya madai ya pesa tu na sio mchezaji ,[2] na etoile du sahel ya tunisia wamefungua kesi ya utoro wa okwi , [3]na okwi amefungua kesi ya kutolipwa mshahara . kila mmoja afatilie kesi yakeAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06237974212445316203noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-70606008789130700492014-02-16T08:07:19.855+03:002014-02-16T08:07:19.855+03:00HUYU MUANDISHI NI WAZI YUPO KIUSHABIKI ZAIDI AU PE...HUYU MUANDISHI NI WAZI YUPO KIUSHABIKI ZAIDI AU PENGINE ANAOGOPA KUITWA ADUI WA YANGA KAMA AITWAVYO SHAFFIH NA BIN ZUBEIRY.<br /><br />MUANDISHI INAONEKANA WAZI HII HABARI UMEIANDIKA KWA KUTUMIA MAWAZO YA WATU WA YANGA WALA SI MAWAZO YAKO.Muharami Nyambihttps://www.blogger.com/profile/15860377467139523640noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-77029011513923395242014-02-15T12:25:02.227+03:002014-02-15T12:25:02.227+03:00Labda hujui unachokisema, sitaki kubishana na mawa...Labda hujui unachokisema, sitaki kubishana na mawazo yako, lakini unauliza eti Simba SC walimuuza Okwi kwa mkopo???<br /><br />Je unajua mchezaji anauzwaje kwa mkopo katika soka, je ndo walivyofanya Simba SC, au kwa kuwa Simba hawakupewa pesa hata kidogo basi we ndo unajua mkopo, mnarukia mambo tu hata msiyoyajua!bellohttps://www.blogger.com/profile/03848285259437316100noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-61659345954770366822014-02-15T11:25:38.476+03:002014-02-15T11:25:38.476+03:00mhh inabidi uongee hivo ukizungumzo tofauti na hiv...mhh inabidi uongee hivo ukizungumzo tofauti na hivo utatukanwa kama alivoshambuliwa shafiiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-46862855749274444272014-02-15T11:06:47.036+03:002014-02-15T11:06:47.036+03:00Katika hili suala la Okwi bwana Shaffii inabidi uw...Katika hili suala la Okwi bwana Shaffii inabidi uwe na uwezo wa kuchambua hoja si kukubali tu kwa sababu FIFA wameamua! Hizi transfer za Okwi zina utata na walakini ndani yake na hata hao wanofanya maamuzi na maamuzi kama haya siyatofautishi na mahakama ya kimataifa ya ICC ambayo wao upenda kuona viongozi waafrika ndio wenye makosa peke yao! Hili suala halina tofauti sana na sakata la mchezaji Janvier Besala Bokungu aliyevunja mkataba na Esperance ya Tunisia na kujiunga na TP Mazembe hali iliyopelekea TP kuondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Simba! Naamini kama suala kama hili lingetokea kwenye klabu za Ulaya FIFA wasingetoa maamuzi kama haya waliyotoa hapa Afrika...chunguza hili suala kwa makini angalia sheria za FIFA pia tafuta wanaojua sheria milijadili muone ukweli hupo wapi? Naamini hata TFF waliliona hili ndo maana wakasita kutoa ruhusa moja kwa moja...TAFAKARI!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-26596901005757359942014-02-15T08:37:55.902+03:002014-02-15T08:37:55.902+03:00u r right....!u r right....!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-58213492361493185002014-02-14T21:57:39.314+03:002014-02-14T21:57:39.314+03:00nami nakuunga mkono kaka kwa hayo maneno uliyosema...nami nakuunga mkono kaka kwa hayo maneno uliyosemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-59720347039211124472014-02-14T20:23:20.937+03:002014-02-14T20:23:20.937+03:00We oscar jr. Naomba uwe unaedit kazi za shafii kab...We oscar jr. Naomba uwe unaedit kazi za shafii kabla hajaweka mtandaoni! Tumsamehe hajielewi!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-55527605970783771252014-02-14T20:19:17.105+03:002014-02-14T20:19:17.105+03:00Mwandishi ukuzingatia weledi huwezi sema kosa la s...Mwandishi ukuzingatia weledi huwezi sema kosa la simba ni kujihusisha moja kwa moja ktk usajil wa okwi kwenda yanga,ww ulitaka wahusike wap!simba wanadai pesa yao kwa kumuuza nan sasa kama unataka wasihusike kuuzwa kwa okwi!unasema kuwa hakuna sbb ya simba kumuuza mchezaj tegemeo kama okwi ww unajua kwann walimuuzq!kama unakumbuku yanga walianza kumrubuni tangu awal so simba kupunguza kelele na ukizingatia ess wamefika bei ulitaka simba wafanyaje!kilichowaponza simba ni huruma yao kwa wachezaji wake walimsaidia okwi akapate maslah zaidi uko aenda sasa hayo mengine yametokea cos simba sio malaika wangejua kitawatokea nn mbeleni,hata ktk suala la kapombe kauzwa kwa mkopo kwa maslah yake na tanzania kwamba mchezaj afaidike kwanza timu ifaidike baadae,wangebaniwa mngeleta maneno ohoo tunawarudisha wachezaj nyuma cos tunawabania,suala la okwi simba lazima wahusike kwa kiasi kikubwa inafanana na baba aliyemuoza bint yake no matter kamuoza kwa kipande cha kanga au bure atakapoa achwa lazima baba ajue bint yake yupo wap na anafanya nn,sio mume na mume mwenzio wapeane bila baba kuhusishwa hiyo haikubaliki ndio sbb simba imehusika moja kwq moja kwenye sakata hilo huwezi sema simba wamejiingiza sio kwel wamejiingiza kwa sbb mchezaj anaanzia kwao wao simba.Anonymousnoreply@blogger.com