tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post2876666527232708782..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: EXCLUSIVE: MENEJA WA JUMA KASEJA ATAKA USHAHIDI WA KUMUHUSISHA NA TUHUMA ZA KUUZA MECHI....Unknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-70592608473627548232014-04-08T17:38:25.852+03:002014-04-08T17:38:25.852+03:00HIVI HUWEZI KUCHANGIAQ MADA BILA KUTUKANA?MBONA WE...HIVI HUWEZI KUCHANGIAQ MADA BILA KUTUKANA?MBONA WENZAKO WAMECHANGIA BILA MATUSI AU KWA SABABU WEWE NI SHABIKI WA MBUMBUMBU SC BASI LAZIMA UTUKANE ?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-51431723001266554572014-04-07T15:36:23.066+03:002014-04-07T15:36:23.066+03:00Nyie nyote hapo juu ni wapumbavu tena wapumbavu ha...Nyie nyote hapo juu ni wapumbavu tena wapumbavu hasa..mpira wa mapenzi uko mitaani kaseja mi profesional footballer hata kama hana mapenzi na yanga lakini yanga mdo waajiri wake...mnadhihilisha upumbavu wenu tena hvi kama yanga wangekua wanacheza mchezo mzuri wasingekua wanagombea vipoint viwili na azam..waangalieni b.munic wameshindaje ligi.kaseja kama kacheza game nyingi yanga azizidi tano so em sure sie aloifikisha yanga ilipo..sasa kama kaseja na yondan walifungisha mbana akina okwi mbele kule ealikua wanarukaruka..kabla canavoro ajafunga goli kwenye ile mech ya al ahly huu ujings mlilua mmenzushia yeye sa hzi naona mnawaamishia wengine.fyi.mpira wa kipumbavu wa mapenzi kama mnaoutaki hsuna mafasi tena.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-45371957494715773052014-04-07T09:18:41.015+03:002014-04-07T09:18:41.015+03:00Kaseja hajawahi kuwa na mapenzi na Yanga, sijui wa...Kaseja hajawahi kuwa na mapenzi na Yanga, sijui walimchukua kwa ajili ya kuiuza yanga kwa team pinzani? <br />Kuhusu lile kosa la Tanga lazima awajibishwe..ule sio uzembe amekula mlungula huyo...<br />Nimeangalia video vizuri..<br />Hata umlete nan akupe tafsiri ya ile video lazima atakwambia kuwa huyu mchezaji alikuwa na lake jambo..<br />Japhethttps://www.blogger.com/profile/18151827532285354290noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-90607721299815291302014-04-07T07:42:19.738+03:002014-04-07T07:42:19.738+03:00Rushwa ya soka ni pamoja na uzembe hivyo baada ya ...Rushwa ya soka ni pamoja na uzembe hivyo baada ya asante hiyo atapewa posho yake kwa kurahisisha kazi ya mbio za ubingwa jiulize mbona mechi ya mtani jembe ilikuwa poa yy meneja nawe shafii unaridhika na jibu eti ni khali ya kawaida ya mchezo? Uzembe na dharau ktk soka ni sumu golikipa ni sawa na askari mtegua mabomu akifanya uzembe anaangamiza kijiji tofauti na mshambuliaji hata akose magoli mia timu inakuwa salamaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/04594482063621491825noreply@blogger.com