tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post2664369308385780882..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: JAMHURI, MKWAKWANI, SOKOINE VIMEGEUKA VIWANJA VIGUMU KWA SIMBA NA YANGAUnknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-79002798662137131812014-03-31T13:34:58.611+03:002014-03-31T13:34:58.611+03:00Hoja hizi ni za mtu asiyejua mpira.Sio lazima ukim...Hoja hizi ni za mtu asiyejua mpira.Sio lazima ukimsajili Okwi basi ushinde kila mechi kwani bado kuna vigezo vingine vinavyoweza kuamua matokeo ya mchezo.Kikubwea ni kuangalia hizo timu zinazotoa upinzani kwa Yanga na Simba kwenye viwanja vya mkwakwani,jamhuri na sokoine huwa zinaishia wapi mwishoni mwa ligi?Kumbuka hata Chelsea,Manchester United,Real Madrid,Man City n.k zinzofanya usajili wa gharama kubwa na kufanya maandalizi makubwa bado huwa zinafungwa na timu zinzoshuka daraja lakini bado zinaendelea kaufanya usajili wa gharama kwa kuwa ndiyo hadhi yao waliyofikia.Huwezi ukawa na kipato cha kukuwezesha kula vizuri halafu ukaendelea kula vibaya ili kuwafurahisha wapuuzi fulani Anonymousnoreply@blogger.com