tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post211709723514543954..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: NI MUHIMU YANGA KUYAFAHAMU HAYA KABLA YA KUMCHEZESHA OKWI.Unknownnoreply@blogger.comBlogger26125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-72397806324169994042014-02-19T09:44:16.225+03:002014-02-19T09:44:16.225+03:00Hata macheda ni mchezaji wa man united lakini hayu...Hata macheda ni mchezaji wa man united lakini hayuko kwenye list yao hili swala okwi zima NI TFF NDIO YA KULAUMIWA WAO NDIO WAONGO NA WANAFIKI WAKUBWA LAKINI MWISHO WA SIKU KILA KITU KITAJULIKANA ,RAGE MWIZI NA MROHO WAPESA ULIONA WAPI MWENYEKITI WA TIMU ANAUZA MCHEZAJI HUU PIA NI UBABAISHAJI KWANAMNA HII SOKA LA TANZANIA LITABAKIA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU TUAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-3581486430479029482014-02-18T23:38:17.728+03:002014-02-18T23:38:17.728+03:00SHAFFIH HOVYOOOOOOOOO! UNAHANGAIKA NINI WEWE NA MA...SHAFFIH HOVYOOOOOOOOO! UNAHANGAIKA NINI WEWE NA MAMBO YA OKWI NA YANGA? HUNA KAZI NYINGINE ZA KUFANYA? WEWE NI NANI KATIKA SWALA HILI? MBONA UMELING'ANG'ANIA SANA SWALA LA OKWI WEWE? UMEUMIA SAAAANA. UNAZI UTAKUAIBISHA WEWE. ONA SASA UNAVYOFEDHEHEKA, AIBUUUUUU.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-45715196541572966782014-02-18T22:29:06.882+03:002014-02-18T22:29:06.882+03:00mr shafi nina kipande cha ushauri kwako nianze na ...mr shafi nina kipande cha ushauri kwako nianze na swali' je okwi akichezea yanga na akiwa safe unafikiri watu wanaosikiliza kipnd cha spots extra watakufikiriaje? alf kipnd okwi anapata tabu tunisia ulikuwa unaongea xana redion kuonyesha huruma yako juu yake(hypocricy) what i think to keep your value up to date stay away from okwis's matter otherwise you gonna endanger your work' Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-39317232062613688922014-02-18T20:33:15.067+03:002014-02-18T20:33:15.067+03:00Wewe jamaa nimekudharau sana, sijui hata kama unap...Wewe jamaa nimekudharau sana, sijui hata kama unapata singizi usiku, naona kila siku unamuota Okwi! Pole sana, naona wewe ndiyo msemaji wa Etoile kila simu unapiga simu, eti bado mchezaji wao, ingia web site ya Etoile uone ktk list ya wachezaji kama kuna jina la Okwi,kama bado wao inamaana jina la Okwi liko mala mbili Fifa si ndiyo? Hata hapo clouds hufai kufanya kazi watu wanaichukia radio sababu yako, omba kazi Simba tujue moja, badala ya kufuatilia HeLa za simba Etoile unapoteza vocha kuulizia Okwi, utakuwa mchawi wewe ila Yanga huiwezi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-56039104757541992582014-02-18T16:28:51.467+03:002014-02-18T16:28:51.467+03:00Nenda kaangalie statutory inayohusu mikataba. Sio ...Nenda kaangalie statutory inayohusu mikataba. Sio polojo. Zingatia ili mkae meza moja lazima muelewane lakini kama mmeshindwana then mmoja kati yenu anaweza ku sue the contract kwa kua address non performance of consideration of the party to the contract. Pale panapotokea kila mmoja anadai lake then sheria inachukua mkondo wake. Mhungurahttps://www.blogger.com/profile/03126603115827388304noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-70347992212607700062014-02-18T14:19:56.305+03:002014-02-18T14:19:56.305+03:00I CAN SEE SO MANY BUSH LAWYERS IN THIS SAGA......I CAN SEE SO MANY BUSH LAWYERS IN THIS SAGA......Cyrilhttps://www.blogger.com/profile/11520116335647576215noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-75551023084530367262014-02-18T12:59:43.959+03:002014-02-18T12:59:43.959+03:00Abdul umesema kweli maana mwandishi mwenye ueledi ...Abdul umesema kweli maana mwandishi mwenye ueledi wa kutosha hawezi ku conclude issue bila kushirikisha pande zote zinazohusika.Shaffih angewatafuta SC Villa kujua ni criteria gani walizitumia mpaka kumuuza Okwi kwenda yanga?Na pia Okwi ana agent wake na mwanasheria wake.Pia Maestro ni kiongozi wa simba sasa tutajuaje hayo yote anayoyatafuta hayana mkono wa simba sc?Mimi naona uchambuzi wao umejaa ushabiki zaidi.Kwa kifupi uchambuzi wa maestro una mgomgano wa kimaslahi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-51536203144289608322014-02-18T12:38:12.974+03:002014-02-18T12:38:12.974+03:00kaka anza kufuatilia kwanza fedha za simba zipatik...kaka anza kufuatilia kwanza fedha za simba zipatikane, hiyo ndio inakuhusu zaidi acha yanga waendelee na yao. Au ingekuwa bora uanzishe stori mpya ya kapombe. Au ukishindwa wapelekee yanga maombi ya kuwa mshauri wao wa kuua timu. Vipi safari hii hukupata mapema jina la kocha mpya wa yanga ili umwambie asije bongo. Duuu blog hii inaongoza kwa fitna na uzandiki Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-12361501947494509752014-02-18T07:18:37.090+03:002014-02-18T07:18:37.090+03:00"alikuwa still bado anamkataba""alikuwa still bado anamkataba"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-91333824457698244712014-02-17T23:32:50.693+03:002014-02-17T23:32:50.693+03:00Msameheni ni bei ya mkaaaaa tuuuuu! shafiii wewe n...Msameheni ni bei ya mkaaaaa tuuuuu! shafiii wewe ni booooongeeeee la mwandishi upo juuuu unatishaaaaa kaza mwambie maestro akusaidie, tutakuchagua aseeee uwe mjumbe wa kujitegemeaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-58719689717006460182014-02-17T22:37:32.234+03:002014-02-17T22:37:32.234+03:00Shaffih please naamini we ni mwandishi mzuri wa mi...Shaffih please naamini we ni mwandishi mzuri wa michezo. You need to kill the issue by analyzing all parts involved. You just talk to Etoile leaders and conclude the matter while its actually incomplete. Naamini Yanga walimnnunua Okwi kutoka Sport Villa Ug. Then ongea na viongozi wa Sport Villa wao wana sema nini kuhusu hii issue? Na walimuuzaje Okwi kwenda Yanga wakati alikuwa still bado anamkataba na hao watunisia ? Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/05075442783313654407noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-86622749479452695382014-02-17T20:40:18.955+03:002014-02-17T20:40:18.955+03:00Dauda.....hiyo notice ya hao warabu nayo mbona mag...Dauda.....hiyo notice ya hao warabu nayo mbona magumashi tu...notice haina hata tarehe,haijulikani imeandikwa lini na ni notice ya mudagani!!
Kama ni formal notice kama unavyodai it supose to state a time frame given to the player......otherwise that does not qualify to be a notice!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-50664627418114004102014-02-17T19:04:12.891+03:002014-02-17T19:04:12.891+03:00Nashindwa kuelewa hivi hizi comments na maangalizo...Nashindwa kuelewa hivi hizi comments na maangalizo yote haya waachieni Yanga wenyewe wao ndo watapata faida au hasara; hali ya kujifanya mnaitahadharisha Yanga ni ya kinafiki na uzandiki tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-37014096557724359512014-02-17T18:25:59.388+03:002014-02-17T18:25:59.388+03:00we Dauda ndo mana hatas mashabiki wa yanga wanakuc...we Dauda ndo mana hatas mashabiki wa yanga wanakuchukia,coz unaleta ushabiki sometimes then unapublish vi2 ambavyusan katika swala la michezo na impacts zakoo huna uhakika navyo bila kujua nafas yako katika jamii hususan kimichezo, ulijijengea heshima sna bt ths tme heshma yako imeshuka afu unaonekana unaongea vi2 kiushabik sna
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-46762287284330678142014-02-17T18:24:06.598+03:002014-02-17T18:24:06.598+03:00Halafu hao waarabu mbona kama matapeli tuu. Hela y...Halafu hao waarabu mbona kama matapeli tuu. Hela ya Simba wanasumbua kulipa. Ni wajanja sana kwenye kuongea. Lakini kulipa hawalipi. Hata Okwi inawezekana hawjamlipa.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/06477546538925665382noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-73384659771956777912014-02-17T16:51:37.812+03:002014-02-17T16:51:37.812+03:00Hakuna kitu kama hico kaka, mkataba unavunjwa na w...Hakuna kitu kama hico kaka, mkataba unavunjwa na wahusika wote sio kama mnavyo ambiwa na viongozi wa yanga, na kama umesikia na kuisoma barua hakuna kipengele cha Okwi kuvunja mkataba zai ya TFF kusema kuna uhamisho kudumu kutoka Simba kwenda Etoile na uhamisho wa muda wa miezi sita kwenda Villa hayo ya kuvunjwa mkataba mmeyatoa wapi? tujuavyo mkataba ulitakiwa uvunjwe na Etoile wakishilikiana na okwi mbona Etoile wanasema Okwi ni mchezaji wao? Majanga hayooooooooooooooalberthttps://www.blogger.com/profile/02502966757751978366noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-88903621487418332502014-02-17T16:47:57.902+03:002014-02-17T16:47:57.902+03:00Shaffih hao wanaokuona kama unachochea baada ya si...Shaffih hao wanaokuona kama unachochea baada ya siku watakuja kukukubali tu hayo maneno yako maana yanga wameshazoea kufanya mambo kienyeji kienyeji kwa kutegemea kubebwa hapa mwendo wa sheria tu kufuataAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-36369499844716232562014-02-17T14:56:55.656+03:002014-02-17T14:56:55.656+03:00Ukweli tutaupata tu bado kidogo, Uhuni wa usajiri ...Ukweli tutaupata tu bado kidogo, Uhuni wa usajiri Tanzania umezidi soma hapo chini niambie taratibu zikoje na kwanini TFF wanajifanya hawajui ile hali wanahusika?

Sheria zinasema ili kufanikisha usajiri lazima vilabu viwili na vyama wanachama wote kwa pamoja waweke maelezo sahihi, Tff wanashindwa nini kusema ukweli kuhusu hilo? kazi ya vyama wanachama ni kueleza kuhusu taarifa za ligi zao na mambo mengine yaliyoko hapo chini, je Yanga waliwezaje kujaza kila kitu bila TFF kuwepo?

To which type of transfers does it apply?
The system is designed to regulate the international transfers of male professional footballers and does not cover so-called “domestic” transfers, i.e. those between clubs of the same association . It may be extended at a later date, however. Nor does the TMS apply to transfers of players who retain their amateur status when moving between clubs, although the transfer of a player from amateur to professional status must be registered in accordance with the system.

Who is responsible for entering the information on the system?
In order for a transfer to be validated the two clubs involved must enter the relevant information on the deal. Member associations must keep all information relating to the league season in question up to date, as well as information on player registrations, clubs and agents.

What information has to be provided?
The following information must be given: The names of the clubs, the member associations, player details (date of birth, nationality, first last and middle names) , type of transfer (permanent, loan, exchange), possible commission payments, the total transfer fee, details of any training compensation or solidarity contributions, payment deadlines (of which there may be one or more), the payment schedule (including dates, amounts paid and recipients), details of payments already made (including information on the paying bank, the payee bank, the amount paid, the date of payment and the recipient).

What other guarantees need to be provided?
As well as the information above, clubs and associations are required to upload a series of documents in the system. These are as follows: documents providing proof of the nationality, correct spelling of name and age of the player; a copy of the player’s new contract of employment, a copy of the transfer agreement and proof of payments.

How will the system increase transparency?
The fact that fraud is very difficult to carry out online guarantees transparency. Clubs and their member associations are responsible for the information they enter on the system and for the actions that need to be undertaken. Prior to forwarding information, clubs are required to tick a box confirming that no third parties are involved in the transaction. Each club and association has their own system account and this allows the TMS teams to view the information they provide immediately, enabling them to identify each party involved along with any irregularities.

How will the TMS monitor information?
The TMS has a dedicated compliance and monitoring team plus a number of additional tools that oversee each transfer.

What happens if a transfer is not completed in the correct manner?
The TMS comes into effect on 1 October. Clubs and associations failing to apply the system after that date may be subject to a wide range of penalties imposed by FIFA’s Disciplinary Committee in accordance with the seriousness of the violation. These penalties are as follows: An official warning, a fine, exclusion from a competition, the withholding of a trophy or award, the annulment of match results, match forfeiture, a points deduction, demotion to a lower division and a transfer ban.

alberthttps://www.blogger.com/profile/02502966757751978366noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-38861861632975808622014-02-17T14:19:45.194+03:002014-02-17T14:19:45.194+03:00Hao Simba sc waache kufuatilia usajili wa Okwi Yan...Hao Simba sc waache kufuatilia usajili wa Okwi Yanga kwa kuwa hauwahusu na kule FIFA hakuna kesi inayohusu Etoile kumshataki Okwi bali ipo kesi ya Simba kuidai Etoile fedha za mauzo ya OkwiHivyo Simba wanatakiwa kudai fedha zao na wakishazipata wakumbuke kuwalipa Villa asilimia 20 ya mauzo hayo kwa kuwa ndio waliomlea na kumfundisha mpira Okwi akiwa chini ya miaka 18Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-18037379620977841962014-02-17T13:58:05.172+03:002014-02-17T13:58:05.172+03:00Lakini Shafii dauda kajuna si alishapewa ONYO na K...Lakini Shafii dauda kajuna si alishapewa ONYO na Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF kwa kuweka kwenye blog yake nakala ya barua ya FIFA kwa TFF huku yeye akiwa hajanakiliwa barua hiyo?Hata kama alipata msamaha feki na wa kinyume cha katiba ya TFF toka kwa swahiba wake Malinzi lakini alipaswa kuheshimu ONYO hilo kwani msamaha huo feki wa Malinzi ulimfutia adhabu tu na siyo hatia ya kosa hilo aliyopatikana nayo.Hivi sasa yuko kwenye kamati za TFF na anarudia kosa lilelile ambalo alitiwa hatiani na hakuwahi kulikatia rufaa na kujiondoa hatiani..Labda anfanya hivyo kwa sababu tu yuko karibu na Malinzi na TFF imekaa kimya tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-10424160376914381382014-02-17T13:50:55.053+03:002014-02-17T13:50:55.053+03:00Hapo hata mimi nimepaona, Jamaa anatafasiri jinsi ...Hapo hata mimi nimepaona, Jamaa anatafasiri jinsi yeye fikra zake zinapomuelekeza. TARATIBU ZA NDANI YA SHIRIKISHO KAMA ZIMEFUATA.Mhungurahttps://www.blogger.com/profile/03126603115827388304noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-8568026017802846092014-02-17T12:17:37.564+03:002014-02-17T12:17:37.564+03:00God! huyu Shaffih nimegundua tatizo lake ni Commun...God! huyu Shaffih nimegundua tatizo lake ni Communication skills(kimombo) mbona hiyo kipande aliyoweka hapo inaeleweka kwa uwazi kabisa! shabash!!!!!!!!!! Shaffih pole mdogo wangu next time weka hivi vitu hapa halafu tukueleweshe kwanza kabla hujaweka upupu wako!!!
Hata interview zako zingekupa mwongozo. logging out!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-70638212102678789742014-02-17T10:01:56.772+03:002014-02-17T10:01:56.772+03:00Shaffih kuna maneno unayatumia sijui ni kwa makusu...Shaffih kuna maneno unayatumia sijui ni kwa makusudi ama vp? ambayo yanatoa tafsiri potofu. kwa mfano unasema FIFA imeagiza TFF nakunukuu: "Kilichopelea gumzo la mchezaji huyo ilikuwa ni baada ya FIFA kuiandikia barua TFF na kuitaarifu ya kwamba mchakato wa uhamisho wa Okwi toka SC Villa kwenda Yanga ulikuwa hauna tatizo. Lakini pamoja na kutoa taarifa hiyo FIFA bado ilisema yenyewe haina mamlaka ya kumruhusu mchezaji kuichezea klabu yake hiyo mpya zaidi ya kuiagiza TFF kufuatilia wenyewe taratibu za uhamisho wa mchezaji huyo kama zipo sahihi" Ilichowaagiza TFF siyo kufuatilia taarifa za uhamisho wa mchezaji huyo kama zipo sahihi! bali TFF iangalie taratibu zake za NDANI kama zimefuatwa. FIFA siyo chombo ujanja ujanja Shaffih!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-32458595314090971782014-02-17T09:01:46.483+03:002014-02-17T09:01:46.483+03:00Shaffih sawa nakupongeza kwa kusikiliza maoni ya w...Shaffih sawa nakupongeza kwa kusikiliza maoni ya wadau ya balance story, lakini kitu kimoja toka kwangu, 'Mbona hiyo barua ya FIFA kwa TFF umeikata? kwa nini hukuionyesha yote? Hujui neno moja ambalo pengine hukulionyesha lingeleta maana ya ziada.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-58620401556235070452014-02-17T08:40:36.555+03:002014-02-17T08:40:36.555+03:00Kuvunja Mkataba wowote ule : "Iwapo pande moj...Kuvunja Mkataba wowote ule : "Iwapo pande mojawapo au pande zote hazitatimiza masharti/consideration za mkataba" umesahau au umeacha makusudi kwa sababu unazozijuwa wewe.

FIFA ilitoa maamuzi ya kwamba OKWI acheze ili asipoteze kipaji chake kwa kuwa ilionekana hakuna maelewano kati yake na Etoile. Ili OKwi acheze Villa, lazima status yake ya Mkataba wake na Etoile ipbadilike na TMS ikubali (Match). Ninavyoona mie kuwa FIFA ili nulfy contract na kumfanya OKWI ni free agent na hapo sasa akasajiliwa na Villa kwa miezi sita na status hiyo ndiyo yanga wameitumia kumsajili na kupata ITC.

Kama FIFA watataka kubadili tena itabidi Warudishe Status ya OKWI ni mali ya Etoile sijui watafanyaje kwenye hiyo system. Ndio maana naona Mawazo yako Shafii kwa kutaka kuthibitisha uko sahihi yamelalia upande mmoja. FIFA wamesema Kesi zilizopo haziusiani na USAJILI bali ni za Madai. Kwa hiyo zikiamuliwa ni masuala ya compensation tu ndio yatafuata.

Alafu tumewasikia Jana mkifanya kipindi pasipo ueledi kwa kuuliza maoni Panelist kwa kutumia closed question (Yaani Ndi au Hapana) bila kuruhusu hoja za wajumbe zitoke hewani na sisi wasikilizaji tuchambue tuone Clouds mlikosea vipi au mpo sahihi. Nilishangaa sana Mnatafuta mlango wa kutokea lakini mnajifunga wenyewe na mnatapa tapa, Come cleans kama mmoja wenu ameegemea upande na kutoa Comclusive statements aombe radhi yaishe tu lakini si jinsi mfanyavyo.

IDD GODEGODE alikua na hoja akitaka kuzitoa mnamkata, mnaongea na mtu wa Etoile na maswali hayo hayo mnayotaka kuthibitisha kuwa Okwi bado anamkataba na Etoile, mngewaachia na akina IDD nao waulize au mnge probe more.

Hiyo Analysis yako Shafi Ungeiacha iwe neutral na Pia unavyotaka wewe OKWI arudi Tunisia ambako yeye hataki kufanya kazi na Muajiajili asiyempa ujila wake. Kwa namna hiyo OKWI ataua kipaji chake mpaka June 2016, Rules zinasema, kama kuna dispute basi decision huwa inaegemea kwa Weaker part, Lazima mpira uchezwe na OKWI acheze, hapo ndio naona FIFA haiwezi kumzuia OKWI asicheze

Hongera kwa kuijali Yanga kwani unataka wasipokwe point Linalotokea kwa Viongezi wa Vilabu vyetu ndilo hilo linataka kumtokea Kapombe tena.
Mhungurahttps://www.blogger.com/profile/03126603115827388304noreply@blogger.com