tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post1946291431250202899..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: YANGA YAILAZA 2-1 KAGERA SUGAR NA KUWAPUMULIA MGONGONI AZAM FC KILELENI, MVUA YATIBUA MECHI MABATINI!!Unknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-50107780367970369722014-04-10T08:28:05.402+03:002014-04-10T08:28:05.402+03:00Kweli Watanzania tumeathirika kifikra na kiakili,u...Kweli Watanzania tumeathirika kifikra na kiakili,ubabaishaji umekuwa kila kona kuanzia serikalini hadi ktk jamii.Hivi mpira fitna ndiyo nini?Tumekuwa wagumu wa kukabiliana na changamoto za Dunia ya mageuzi ktk kila sekta,badala yake tumejikita kwenye mbinu chafu za kuwadhuru wapinzani wetu,ndiyo tumeona hata wenye mamlaka wanavyohangaika na kutumia nguvu kubwa ikibidi hata kuuwa ili kuwazima wapinzani.Zama za kuhujumiana hazina nafasi ktk dunia ya leo,kama yanga mmejipaga kuihujumu azam ili ifungwe kama ulivyocoment hapo juu,unafikiri hujuma zina tija gani ktk soka la kileo?Pambana uwanjani ktk kusaka mafanikio,siyo kujibanza ukutani na kuandaa mikakati ovu kwa mpinzani wako.Soka lichezwe uwanjani na aliyejiandaa vizuri ashinde,tuache kuiga mikakati ovu ya watawala ya kuwafanyia fitna wapinzani wao,mara ugaidi,mara hawamalizi mwaka watakufa,mara wawalipue kwa mabomu na kusema wamejilipua wenyewe basi ilimradi wachafue taswira yao njema.Maendeleo ya kweli katika sekta yoyote yawe ya kijamii,kisiasa,kiutamaduni au kimichezo huletwa kwa mikakati thabiti na mapinduzi ya kifikra iliyojikita kwenye uwajibikaji wa pamoja,siyo kwa fitna na majungu.Tuamke.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-29820952390875407322014-04-09T21:51:17.490+03:002014-04-09T21:51:17.490+03:00kesho mpira fitna tupo mlandizi tuone hao azam was...kesho mpira fitna tupo mlandizi tuone hao azam washinde wanafungwa moja tu hawarudishi hapa ndio bongo mpira unachezwa ndani na nje uwanjaAnonymousnoreply@blogger.com