tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post1755637388112331647..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: KUELEKEA UCHAGUZI WA TFF: HII NDIO ILANI YA UCHAGUZI YA MGOMBEA JAMAL
MALINZIUnknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-34758718793607710152013-10-24T09:09:28.485+03:002013-10-24T09:09:28.485+03:00Vyombo vya habari sijui mmenunuliwa na huyu Malinz...Vyombo vya habari sijui mmenunuliwa na huyu Malinzi,mbona hatuwasikii wagombea wengine?au anagombea peke yakeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-49258741808144803912013-10-23T22:43:42.916+03:002013-10-23T22:43:42.916+03:00Hizi zote mbwembwe mkipewa ofisi mtasema kuwa ROMA...Hizi zote mbwembwe mkipewa ofisi mtasema kuwa ROMA pia haikujengwa kwa siku moja.Sasa ndugu yangu MALINZI (mtani wangu) mimi langu moja kila timu iwakatie bima wachezaji wake hata kama ni kwa bei ya chini kupitia NHIF.Hili suala liwe compulsory kinyume na hapo timu haishiriki ligi kuu.Pia wachezaji wakati wa kusajiliwa wafanyiwe vipimo vya afya ikiwemo pamoja na kuwapima mifupa ili kujua umri wao(MRI).Pia kukazia ujenzi wa viwanja kuanzia na kanda ili angalau uwepo uwanja mmoja ambao ni wa kutolea mfano ambapo timu zote za ligi kuu za kanda husika zitakuwa zinacheza hapo.Sasa kwenye hili inabd baadhi ya mapato yatokane na asilimia fulani kwenye mapato ya mechi za taifa stars na mapato ya mechi za ligi kuu kwenye mikoa ambayo ipo kwenye kanda pamoja na kufanya harambee.Haya mambo yanawezekana na sisi wananchi wenyewe tupo tayari.Mambo ya kujenga viwanja jirani hatutaki kabisa ONA taifa na uhuru hauwezi kuchezewa mechi siku moja.Uwanja mmojawapo hapo ungepelekwa mkoa mwingine.Ni kama vile kwenda kujenga hospital mpya ya muhimbili KIBAMBA ili hali TUMBI ipo jirani na KIBAMBA na kujenga TAIFA ili hali UHURU ipo usoni mwa TAIFA.Viongozi wetu nawalaumu kwa kufanya mambo kwa maslahi ya kisiasa bila kufanya tafiti.Anonymousnoreply@blogger.com