tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post1359030453318310956..comments2024-03-13T22:55:00.987+03:00Comments on Shaffih Dauda in Sports.: KUTUHUMU WACHEZAJI KULA RUSHWA HUWAONDOA MCHEZONI, MASHABIKI YANGA WAWE WATULIVU KUTETEA UBINGWA WAO!!Unknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-76808643746345124962014-04-07T14:18:53.392+03:002014-04-07T14:18:53.392+03:00kiufundi mechi ya Yanga na Mgambo JKT ilkuwa ngumu...kiufundi mechi ya Yanga na Mgambo JKT ilkuwa ngumu.Kishabiki mechi ya Yanga na Simba inaweza kuwa ngumu <br />Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-38368758483367994642014-04-06T19:24:32.408+03:002014-04-06T19:24:32.408+03:00Shafi waambie waandishi uchwara wenzako waliozua h...Shafi waambie waandishi uchwara wenzako waliozua huo ujinga. Yanga tumetulia na tunasonga mbele. Mnachanganyana wenyewe waandishi vihio.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-7367496212538568642014-04-06T09:45:38.662+03:002014-04-06T09:45:38.662+03:00Mi ni moja kati ya waliokupinga ingawa sijatukana ...Mi ni moja kati ya waliokupinga ingawa sijatukana na bado nitaendelea kukupinga km bado utaendelea na mcmamo wako huo kua Yanga amemaliza mechi ngumu ama niseme kua mechi ya Yanga dhidi ya Simba uiite nyepec si kweli ingawa naamini kukuambia kwann c nyepec ni kupoteza muda ila tuombe uzima Mungu atufikishe hiyo 19 April uone watu wanavyohangaika nje na ndani us uwanja tena kabla na baada ya mchezo nadhani litakua jibu toshelezi kwako!!@Anonymous 6:00 AmAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/08949678893834171525noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7666991204659384237.post-39497973879328858682014-04-05T16:00:37.734+03:002014-04-05T16:00:37.734+03:00Siku chache zilizopita nilisema katika blog hii Ya...Siku chache zilizopita nilisema katika blog hii Yanga wamebakiza mechi ngumu moja tu dhidi ya Mgambo JKT,lakini kama kawaida ya watu wasiojua mpira wakaanza kutoa matusi kwa nini sikuitaja mechi ya Yanga na Simba SC.Nafikiri sasa wameelewaAnonymousnoreply@blogger.com