Kaimu Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura (wa pili kushoto),
akimkabidhi bendera ya taifa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 ‘The Tanzanite,’ Fatuma Issa. Tanzanite, inasafiri Jumatano kwenda Afrika Kusini kwa mechi ya marudiano dhidi ya timu ya taifa
ya wasichana ya huko ‘Basetsana’ itakayopigwa Jumamosi Desemba 21. (Picha na Habari Mseto Blog)

Ni aibu kwa Taifa mpaka leo viongozi hawajui bendera inatakiwa ikae vipi. Haiwezekani bahari iwe juu(rangi ya blue) na misitu(rangi ya misitu) iwe chini hata kwa akili ya kawaida tu.
ReplyDeleteTazama kote bendera inavyokaa kwenye mlingoti majani yanakuwa juu bahari chini. Kifupi bendera imegeuzwa