| MMoja wa wapenzi wa Fiesta akiwa amefika kwenye eneo la kufanyia matangazo ya Fiesta 2012 mjini Musoma leo hii. |
| Mully B kutoka Clouds FM akimuhoji kijana aliyevalia Tshirt ya Fiesta mwaka 2010 |
| Pilika pilika za Fiesta ndani ya Musoma |
| Bonge nae kutoka Power Breakfast akiwahoji vijana wa Musoma waliokuja kushow love na Serengti Fiesta 2012 Bhaasi |
| Bonge akimuhoji mwendesha Boda Boda kuhusu joto la Fiesta Musoma itakayofanyika wiki hii. |
| Mully B na Faraja Kinyarwenda kutoka Ala za Roho ndani ya Musoma kwa ajili ya show ya Fiesta itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii. |
| Hili Gari mbona silifahamu kama ni la kwangu! |
| Mashabiki wa Simba nao pia wana kiraru raru cha Fiesta |
| Hata watoto wa Jangwani nao wameipata homa ya Fiesta |
Kwani Shaffih wewe umekuwa IMAMU.......? Mimi JUMA wa boko Basihaya
ReplyDelete